Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAAA INAPANGISHWAAA HIII SIYOOOO YAKUACHAAA KABISAAA MABOSIII ZANGUUU
LOCATION:MADALE MBOPO
KODI YAKE:200,000=/KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 3
SIFA YA NYUMBA
👉VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
👉SEBURE KUBWA
👉JIKO LINA FUNGWA MAKABATI
👉TOILET PUBLIC
👉MAJI DAWASCO
👉FENI
👉FENCE INAJENGWAAA
CONTACT
0782428327