Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


STANDALONE INAPANGISHWA;
💧Location :: MADALE KISAUKE - KARIBU NA BARABARA
💧Bei :: 350,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Master)
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko kubwa zuri
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Call /Whatsapp
0745559598