Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







Nyumba stand alone mpya inapangishwa:
Room 2 moja self 
Sebule kubwa jiko kubwa stoo public toilet na maji dawasco 
Kodi- laki 5 kwa mwez kuanzia miez 6
Location- mivumoni Uwanjan 
Umbali-km 1.5 kutoka main road madale mwisho 
Na mita 100 kutoka barabara kubwa ya mivumoni inayowekwa lami 
Karibuni 06595O7709 
06595O7709




















