Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND NA MBILI ZIPO WAZI MPYAAA..
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION:MADALE ROAD KITUO FLAMINGO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA..
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
NYUMBA MPYA JAMANI ZIPO MBILI WAZI NA PEVING ZINA WEKWAA KARIBU SANA
#0785889413🔥🔥