Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
📍 ZIPO Madale, ndani ya fensi moja (apartments 2)
🏡 Muundo:
• 🛏️ Vyumba 2 (1 Master)
• 🛋️ Sebule
• 🍳 Jiko
• 🚻 Choo cha wageni (Public Toilet)
💡 Huduma:
• ⚡ LUKU yako binafsi
• 🚰 Maji mita yako
• 🔒 Ulinzi wa waya wa umeme (Electric Fence)
💰 Bei: TZS 600,000/= kwa mwezi
📅 Malipo: Kuanzia miezi 6
📞 WASILIANA: 0685 006223
📞 WASILIANA: 0718 759287
👨💼 Dalalimbezibeach_semba
⸻
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA


















