Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
1st December 2024-------------------Apartment mpya
Location madale
Vyumba 2/master 1
Kitchen
Sitting
Public toilet
Umeme na maji vinajitegemea
Kodi lk 400,000 kwa mwezi
Haziko mbali na main road
Malipo miezi 6
Malipo ya dalali mwezi mmoja
Piga simu
0758 572 334
0716 407755