Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA, VYUMBA 6, TSHS. 240 MILIONI MAGOMENI MWEMBECHAI.
Hii ni nyumba ya kisasa yenye pande mbili na iliyojengwa mfumo wa Apartments.
Ipo jirani na Hospitali ya EKENYE.
UPANDE WA KWANZA:
Kuna vyumba 2 vya kulala ( Masta 1) Sebule,
Dining-room na Jiko.
Upande huuhuu pia kuna Chumba kimoja ambacho ni Masta na Choo chake na Masta nyingine moja.
Na Parking ya Gari mbili ndani ya Fence
UPANDE WA PILI:
Huku kuna vyumba 2 ( Masta 1)
Pia Sebule na Jiko.
Hapa unaweza kuishi upande mmoja na upande mwingine unachukua Kodi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.