Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


š NYUMBA MPYA KABISA INAPANGISHWA
š Makongo Juu
š° Kodi: 1,100,000/= kwa mwezi
š Malipo: Miezi 6
š Vyumba 2 vya kulala (kimoja Master)
š Sebule
šŖ Jiko
š» Public Toilet
š” Ndani ya fence (usalama upo)
š Parking inapatikana
āļø Full AC
š§ŗ Washing Machine ipo
šµ Service Charge: 30,000/=
š Agent Commission: Kodi ya mwezi mmoja
ā
Eneo tulivu na zuri kwa makazi
ā
Inafaa familia au mtu binafsi
ā” Ni mpya kabisa ā nafasi adimu, wahi sasa!
š Wasiliana: 0678512666