Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mateves, Arusha
Nyumbaa mpyaaaaa❗️❗️❗️🔥🔥
Zinapangishwa mateves jirani na arusha airport
Nyumba zote mbilii muundo ni mmoja (zinafanana)
vyumba vya kulala ni vikubwa
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina makabati vyumbani
Ina sebulee kubwaa
Ina open kitchen
Ina public toilet
Ina heater ya maji moto
Ina parking kubwa
Kila nyumba inajitegemea umeme na maji
Kila nyumba ina tank lake la maji.
Nyumba zipo ndani ya geti
MAHALI:Mateves
KODI:400,000/= kwa mwezi
Mobile:0783209187
Instagram: dalali_wakitaa_arusha
.
.
#realestate #luxury #interiordesign #homedecor #business #entrepreneur #success #interior #dalaliwakitaaarusha #homesweethome #house #luxurylifestyle #forsale #realtor #investment #construction #realestateagent #realestatemarket #realestateagents #realtorsofinstagram #realestateforsale #dalaliarusha #dalaliwakitaa #nyumbaarusha #nyumbazakupangaarusha #njiro #moshono #sakina #ngaramtoni