Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI YA KISASA
ENEO: KIBORILANI
YENYE
Vyumba viwili vya kulala kimoja ni maste Ina public toilet 🚻 sebule kubwa na jiko.
dakika chache kufika kwenye nyumba
nyumba ipo ndani ya uzio
car 🚗 parking space ipo kubwa
umeme upo wa luku yake
maji yapo ya bomba 24hrs
MALIPO: 220,000 KWA MWEZI x(6)
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1.WA dalali.
N:B GHARAMA ZA KUHIONA NYUMBA NI 10,000 TSHS/ Service charge.
MAWASILIANO 📞 📲 what'sApp +255625369161