Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







MPYAA MPYAA MPYAA
APARTMENT KALI YA KISASA HII UNAZINDUA
MWENYEWE INAPANGISWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 1
BODA 1000
KODI 250,000x6
NI VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LENYE NAFASI
TOILET PUBLIC YA NJE
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI YAKO PIA YANA FLOW NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA HAIPO KWENYE FENSI HILA USALAMA UPO WAKUTOSHA GARI INAFIKA ADI KWENYE NYUMBA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















