Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MILIONI 350M
💥 NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
NYUMBA HII INA HATI MILIKI
UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000
BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 370M
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI 30,000
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp