Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(350,000X6)MBEZI MWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA
——
APARTMENT Z8NA PANGISHWA MPYA KABISA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA STEND YA MKOWA BODA BUKU
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
-----------
Contact
0716223412
0618976024
FOCUS_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏