Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
-------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π