Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA
KITUO MSIKITINI UKISHUKA KUTEMBEA DK 6 KWA MIGUU
____________________________
SIFA YA NYUMBA 
"""""""""""""""""""""""""""
VYUMBA VIWILI VYA KULALA 
KIMOJA MASTA 
SEBULE 
JIKO
______
PARKING IPO 
NDANI YA FENCE 
MAJI UMEME UNAJITEGEMEA 
________________________
KODI TSH 350,000 KWA MWEZI 
ILIPWE KUANZIA MIEZI 3 
______________________
PIGA 👉 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
********************




















