Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT MZURI SANA INAPANGISHWA IPO KWA MSUGURI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 7 KUTEMBEA TOKA ROAD
PIA UNAWEZA KUPITIA TEMBONI BODA 1000/ MPAKA GETINI,
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA SANA INA SEBULE KUBWA JIKO NISEHEMU IPO KWAPEMBENI KWA NJE NA PABLICK TOILET AINA MASTAR,
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI SHEA UMEME WAWILI
NDANI YA FENSI MAZINGIRA MATAM SANA
KODI 220 X 6 SIO CHINI YA MIEZI SITA
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CAL
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343