Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MILIONI 370M
๐ฅ NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
NYUMBA HII INA HATI MILIKI
UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000
BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 370M
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO #MBEZI_KWA_MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0683-387747