Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOE KM2 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
-------
Conta
KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π



















