Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844 #0657384670
APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
KODI. 300,000/=X6
SIFA ZA NYUMBA
================
VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA CHOO CHA PABLIC NA JIKO
====
IPO MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM 1,5.
USAFILI BODA. 1000/=
====
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI
HII. ITAKUA WAZI TAREHE. 30/4/20025 NI KESHO JIONI
KUONA NA KULIPIA NI LUKSA. KABISA
====