Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZI SHAKAMILIKA TAYALI BADO VITU VIDOGO VIDOGO KAMA FENCE MAFUNDI WAPO KAZINI MALIPO RUKSA SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#VYOTE MASTER
#JIKO KUBWA LINA FUNGWA MAKABATI
#STORE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI AMBAYO INAYO JENGWA
#LOCATION MBEZI KWAMSUGURI KLM 1.5 KUTOKA KITUONI CHA MWENDOKASI ADI KWENYE NYUMBA USAFIRI MWINGI /BAJAJI/500/PIKIPIKI/1000 TU MPAKA GETINI
#BEI NI 350,000 MWEZI MALIPO KWANZIA MIEZI X4.5.6 BILA KUSAHAU NA PESA YA MWEZI MMOJA YA DALALI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347