Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#FOR SALE 360,000,000/= ๐ฅJUMBA LA KISASA KUBWA
BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MILIONI MIA TATU NA ELFU SITINI (360,000,000/= ) MILION
๐ฅ NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
NYUMBA HII INA HATI MILIKI
UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000
BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 360M MAONGEZI YAPO KIDOGO
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO #MBEZI_KWA_MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















