Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI MPYA YA KUPANGA
.
IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAMBA
.
SIFA ZAKE
========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
INAJITEGEMEA LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS YA WAYA NA PARKING IPO KUBWA
.
UMBALI NI KM 1.3 TU KUTOKA KITUO CHA DALADALA MBEZI MWISHO
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0712656027