Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(450,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700..NJIA NI ZEGE ..IMEBAKI MOJA WAHI
➖➖➖➖➖➖➖➖
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA NUSU DAKIKA UPO NDANI
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2VIIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
FULL ICEE
MAFEN
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 450,000 X 6
➖➖➖➖➖➖➖➖
NB: UKILIPIA HII NYUMBA UNALIPA NA HELA YA TAHADHARI AMBAYO NI KODI YA MWEZI NJE YA MIEZI SITA..UKIONDOKA HUJAHARIBU CHOCHOTE UNARUDISHIWA PESA YAKO
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453