Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


350,000/=X6. APATIMENTI NZURI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM 1,5
USAFILI PKPK 1000/
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA SANA
DAINING JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI
KODI 350,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
350,000/= MALIPO KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===
CONT
0683234124
0718367179