Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(410,000X3)MBEZI MWISHO DK 10-13 KWA MIGUU..KAMA MVIVU BAJAJI 500 NJIA LAMI TUPU..
➖➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
KODI:(410,000X3)...UKILIPA MIEZI MINGI KUNA PUNGUZO
NB:INAKUWA WAZI TAR 01/03/2025 KULIPA NA KUONA RUKSA....UNAWEZA PIA KUTOA PESA YA ADVANCE KUZUIA NYUMBA WAKATI UNASUBIRI MPANGAJI ATOKE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
MAJI YA DAWASA YANATOKA NDANI
LUKU YAKO
PARKING KUBWA SANA HATA LORRY
STORAGE YA MAJI HAPA UHAKIKA KABISA
SHIDA YA MAJI HAPA SAHAU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NB: HIZI NYUMBA UKILIPA KODI UNAKUWA UMELIPA , MAJI HUMOHUMO, ULINZI, TAKATAKA, USAFI WA MAZINGIRA...MLINZI YUPO GETINI MUDA WOTE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZ
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453