Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT CLASC INAPANGISHWA, IPO #KIMARA_TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 12 KUTEMBEA BODA BUKU
MUUNDO WAKE
#VYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA SANA
#KIMOJA MASTAR
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA FULL MAKABATI
#PABLICK TOILET
HEAT YA MAJI MOTO NA BARIDI
INATAILIZI GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME MAJI SHEA
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 500,000/ X 6
KUONA NYUMBA HII ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CALL
0715949085
0782838336