Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 350000 K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFURI
KUTOKA BARABARANI MITA 700 HADI KWENYE NYUMBA
BODA BODA 1000
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 10
ZIPO NYUMBA NN 4
KWENYE FENSI MOJA
NYUMBA MOJA IPO WAZI
SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO CHA PABILIKI
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
MAJI YA KUSHEA
KUPELEKWA KUONA 20000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
0712500602
0755336565