Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#STAND ALONE HOUSE FOR RENT/NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI MALAMBA MAWILI KITUO MSIKITINI
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 kwa mwezi × 6
Inajitemea kila kitu parking ya uhakika
Ukishuka daladala au bajaji unatembea dakika 7-8 upo nyumbani
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















