Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI ZILIZOPO OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1.5 KUTOKA LAMI BODA BUKU INAKUWA WAZI TAR 12.1.2025
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_kimara πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π