Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STENDI
===
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 1,5
USAFILI. BODA 1000/=
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO STOO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
NYUMBA HAINA FENSI
ILA PAKING IPO USALAMA UPO
===
KODI. 200,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027