Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA
INAAPANGISHWA
MBEZI KWA MSUGURI
KODI YAKE 500K X 6
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER SEBULE KUBWA SANA NA JIKO ZURI LA KISASA NA PUBLIC TOILET
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA NYUMBA IPO MBEZI KWA MSUGURI NDANI YA FENCE UMBALI KIM1;1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WAKUTOSHA
PIKIPIKIποΈ1000
BAJAJI. 700
KARIBUNI SAANA....
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363