Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI KM1. 3 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=Γ6
--------
Malipo ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
---------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π