Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000 K X4
APATIMENTI ZIPO MBEZI
KWA MSUGURI
UMBALI WA KILOMITA 1
HADI KWENYE NYUMBA
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 10
BODA BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE
JIKO
CHOO NI PABILIKI
AINA JIKO
KODI 250000 K X4
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
ZIPO NYUMBA MBILI SEHEMU MOJA
NYUMBA MOJA IPO WAZI
HAKUNA FENSI
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI