Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿#CLASSIC #APARTMENT #FOR_RENT
📍Mbezi kwa msuguli
🕝1.5km Umbali kutoka Morogoro Main Road usafili bajaji 700Tu
#SIFAZAKE
🔹 Vyumba viwili vyote master
🔹Sebule
🔹Jiko zuri
🔹Public toilet safi
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Air Conditioner A/C
🔹Fenced Car Parking kubwa
🔸Kodi Tsh 500,000/=x3(Miezi mitatu)
🔸Malipo ya Dalali roony Tsh 500,000/=
🔸Service Charge Tsh 15, 000/=
#Piga_simu
#0627977373.&Whatsapp
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊