Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA: STAND ALONE
LOCATION :: MBEZI BEACH UPANDE WA BEACH
DAKIKA MOJA LAMI
BEI YAKE :: 550,000Tsh KWA MWEZI
MALIPO YA (MIEZI 10)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp;
0685 006223
0718 759287
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA