Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







WALE WATEJA WASIOPENDA KUPANDA BODA AU BAJAJI WANAPENDA NYUMBA ZAKUTEMBEA NYUMBA IYO DK 6 KWAMIGUU
APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA, ❌HAKUNA MASTER❌ INASEBULE INA JIKO NA PUBLICK TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 300 X 5
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CALL
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343