Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA SALASALA IPTL
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Joko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Garden safi
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 900,000/=×3
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 9
0719082300
0692904876
0762652066
Dalali mbezi bech afirikana SERVICE 20k