Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000X4)MBEZI KWA MSUGULI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO, BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA
SEBULE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC NDANI
AINA JIKO
KODI 250000 K X4
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
ZIPO NYUMBA MBILI SEHEMU MOJA
NYUMBA MOJA IPO WAZI
HAKUNA FENSI
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024