Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
๐ฐNyumba Nzuri ya bei poa___Inapangishwa MBEZI KIBANDA CHA MKAA
๐ Kodi ni Tsh 250,000/= ร6
_
_______
โข Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo Master)
โข Sebule
โข Jiko
โข Public Toilet
* Inajitegemea UMEME
* Ndani ya Fensi
* Maji Ndani
* Parking
#Umbali wa 3Km kutoka Morogoro Road
_____
#Malipo Ya Dร lali Nasoni Ni Tsh 250,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
โ:- 0753172516