Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGIAHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MAKABE #300K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
KODI 300,000 KWA MWEZI × 6
huduma zote zipo hapo fence na parking uhakika
Umbali KM 2 kutoka mbezi mwisho Usafiri bajaji na Daladala ukishuka Tu upo nyumbani
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15. Ukiipenda Malipo ya dalali nikodi ya mwezi mmoja
0679447338
0753454167