Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT MZURI SANA INAPANGISHWA
IPO MBEZI
DK 20 KUTEMBEA KWA MIGUU BODA (1000) BAJAJI (1000)
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYAKULALA HAINA MASTAR, INASEBULE JIKO OPEN KITCHEN
CHOO NI PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
=====
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
JUMLA WAPANGAJI (5) KILA MPANGAJI ANAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA HII ELFU 15000 ITADUMU MPAKA UNAPATA NYUMBA
PIA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179