Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Full air condition
Tiles
Gypsum
Garden safi
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 800 kwa mwezi
----------
Ilipwe miezi 6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni UDS 800
-----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ