Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT Δ°NAPANGΔ°SHWA #MBEZI MWISHO
KWA HAKIMU
TOKA LAMΔ° DAKIKA 1
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko kubwa lenye makabati
Parking
Maji na Umeme mita yako
CCTV camera πΈ
Electric β‘ fance
Choo cha familia
__
Kodi 450,000/= Γ 6
Dalali mwezi 1.
Kuona site 20 elf
Piga 0659336751 wsp 0786085637