Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Hapa kuna nyumba aina mbili zipo mbezi beach massana
1: Vyumba viwili kimoja master sebule jiko Bei 500k
2: Chumba sebule choo jiko 400k
3: Kodi kuanzia miezi 4
4: zinafungwa A/c zote
0682778500
0788633081
Kuiona 20k