Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(400,000X6) MBEZI NJIA YA GOBA KWA ROBERT
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
STAND ALONE:INAJITEGEMEA KILA KITU HAPA...
IPO GOBA ROAD KITUO KWA ROBART..
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-JIKO
-PUBLIC TOILET
-PARKIN KUBWA SANA..
BEI NI 400,000 ILIPWE MIEZI 6 AU 12
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453