Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 250000X6
========
APATIMENT ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
=========
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2 HADI KWENYE NYUMBA
=========
BODA BODA 1000
BAJAJI 700
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15
=======
SIFA YA NYUMBA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE JIKO LIPO NJE
========
CHOO CHA PABILIKI
VYUMBA VIKUBWA SANA
HATA SEBULE KUBWA
=========
ZIPO NYUMBA 4 MOJA IPO WAZI
=====
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
=======
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MUMOJA
====$==
0713320608
0686334182