Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







WALE WATEJA WASIOPENDA KUPANDA BODA AU BAJAJI WANAPENDA NYUMBA ZAKUTEMBEA NYUMBA IYO DK 6 KWAMIGUU
APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
========
SIFA ZA NYUMBA
================
VYUMBA VIWILI VYAKULALA
SEBULE JIKO NA PABLICK TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
======
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 300,000/= X 5
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
Cont
0683234124
0718367179