Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa ipo mbezi malamba mawili dk 7 kutoka Barabaran
Bei 200,000
Ina tylz gypsum board madirisha alminium
Vyumba viwili kimoja master sebule jiko na public toilet
Call 0686 152331