Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWA
IPO DAR ES SALAAM - Tz
MAHALI ~ MBWENI MPIJI
KODI ~ TSH 600,000/= KWA MWEZI
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YENYE
Vyumba viwili vikubwa vya kulala Sebule kubwa Jiko lenye makabati, heater ya kuchemshia maji motto feni
PAMOJA NA MALIPO YA MWEZI MMOJA WA DALALI
TUWASILIANE