Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


18/9/2024
Nyumba inapangishwa stand alone
Location mbweni mpiji
Bei 400,000 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 2 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Inajitegemea maji na umeme
Contact 0745010009